China inajenga hospitali mpya katika muda wa wiki mbili

China inajitahidi kujenga hospitali mbili mpya katika muda wa wiki mbili kuwatibu wagonjwa wakati huu wa mripuko wa virusi hatari vya Corona ambavyo vimewaathiri mamia ya watu. Hii ni kulingana na shirika la habari la serikali hiyo. Je unafikiri ni hatua gani zaidi za udhibiti zinazopaswa kuchukuliwa na China pamoja na mataifa mengine kuzuia kuenea